1. Hosiana! Asifiwe

Hosiana! Asifiwe ajaye

kwa Jina la Bwana!

Hosiana mbinguni!

Anakuja kwa Jina la Bwana,

Anakuja kwa Jina la Bwana,

Hosiana! Hosiana!

Hosiana mbinguni!

Hosiana mbinguni!


Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya