124. Mbinguni Nani?
1. K: Mbinguni nani?
W: Mbinguni amepaa.
Ni Yesu kwa Baba.
K: Akawa wapi?
W: Akawa kwa watu,
wamtia maumivu,
Akayalipa
Madeni makubwa,
na Mungu ampaza:
Aha! Mtawala!
2. K: Wenzangu nani?
W: Wenzangu waenda,
waenda mbinguni.
K: Na tuwe wapi?
W: Na tuwe kwa Yesu,
aliyetulinda.
Hapa duniani.
Sasa tunamsifu
Mwokozi wetu mkuu.
Aha, yuko juu!
Kuimba kwa kifukuzano
1. Mbinguni nani,
Mbinguni amepaa
Ni Yesu kwa Baba,
Akawa wapi,
akawa kwa watu,
Wamtia maumivu,
Akayalipa
madeni makubwa,
Na Mungu ampaza,
Aha, mtawala
2. Wenzangu nani,
wenzangu waenda,
Waenda mbinguni,
na tuwe wapi,
na tuwe kwa Yesu
aliyetulinda.
Hapa duniani,
sasa tunamsifu,
Mwokozi wetu Mkuu
Aha, yuko juu.
Comments
Post a Comment