82. Mwana Kondoo wa Mungu Unachinjwa

1. Mwana Kondoo wa Mungu 

   unachinjwa msalabani 

   wavumilia sana 

   ujapodharauliwa. 

   Waichukua dhambi,

   tupate kuokoka. 

   Utuhurumie ee Yesu.


2. Mwana Kondoo wa Mungu 

   unachinjwa msalabani 

   wavumilia sana

   ujapodharauliwa. 

   Waichukua dhambi, 

   tupate kuokoka.

   Utuhurumie ee Yesu.


3. Mwana Kondoo wa Mungu 

   unachinjwa msalabani 

   wavumilia sana 

   ujapodharauliwa.

   Waichukua dhambi, 

   tupate kuokoka. 

   Tutulize mioyo ee Yesu.


Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya