109. Tumsifu Mungu Enzini

1.  Tumsifu Mungu enzini 

    na Mwana wake wa pekee,

    aliyefanya wokovu: 

    Haleluya! Haleluya! Haleluya!


2.  Siku ya tatu mapema, 

    jiwe halijaondolewa, 

    akafufuka mshindaji.

    Haleluya! Haleluya! Haleluya!


3.  Ametoka kuzimuni, 

    makosa hata shida zote,

    zimetoweka kabisa. 

    Haleluya! Haleluya! Haleluya!


4.  Umemwumbua Shetani,

    ukamvua mapambo yake, 

    ukafungua kifungo. 

    Haleluya! Haleluya! Haleluya! 

Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya