120. Ameingia Mbinguni

1. Ameingia mbinguni. 

   Haleluya 

   Kristo mwenye utukufu. 

   Haleluya.


2. Akaa kitini kwa Mungu 

   Haleluya! 

   Mkuu wa dunia na mbingu.

   Haleluya!


3. Sasa limetimilika.

   Haleluya!

   Agano lote la kale. 

   Haleluya!


4. Mwana Daudi, Mfalme mkuu.

   Haleluya!

   Sasa ni Bwana wa wote.

   Haleluya!


5. Sababu hii tumsifuni.

   Haleluya!

   Yesu Mwokozi wetu mkuu!

   Haleluya!


Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya