26. Nchi, Mbingu Furaha!
1. Nchi, mbingu furahi!
Haleluya!
Amekuja Mwokozi,
Haleluya!
Mwana wake Mungu
amekuja kwetu,
Mwana amekuja kwetu.
2. Toka shina la Yese,
Haleluya!
Tawi limechipuka,
Haleluya!
Mwana wake Mungu…
3. Neno lake Mwenyezi,
Haleluya!
Limekuja duniani,
Haleluya!
Mwana wake Mungu …
Comments
Post a Comment