29. Siku ya Furaha Popote

1. Siku ya furaha popote,

   Sauti za kusifu zavuma! 

   Duniani, nyumbani 

   nyimbo za furaha kuu: 

   Siku ya furaha popote,

   Sauti za kusifu zavuma!

   Wote na tushiriki 

   furaha yetu,

   mwanga wa ulimwengu 

   waja toka juu.

        Siku ya furaha popote,

        Sauti za kusifu zavuma! 

        Duniani, nyumbani 

        nyimbo za furaha kuu:

        Siku ya furaha popote, 

        sauti za kusifu zavuma!


 2. Siku ya furaha popote, 

    Sauti za kusifu zavuma! 

    Duniani, nyumbani, 

    nyimbo za furaha kuu:

    Siku ya furaha popote, 

    Sauti za kusifu zavuma! 

    Azaliwa Mesiya kwetu 

    duniani: 

          Tulio wa gizani,  

          tuwe wa Mwanga. 

          Siku ya furaha popote…


 3. Siku ya furaha popote,

    Sauti za kusifu zavuma! 

    Duniani, nyumbani 

    nyimbo zafuraha kuu: 

    Siku ya furaha popote, 

    Sauti za kusifu zavuma! 

    Walimwengu wakubwa 

    hata wadogo watangaze

    kwa shangwe:

    Tunaye Kristo! 

         Siku ya furaha popote…


Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya