3. Sayuni, ufuhi!

1. Sayuni ufurahi.

  Shangilia Yerusalemu!

  Yuaja Mfalme wako,

  mwenye amani kwako.

  Sayuni ufurahi!

  Shangilia Yerusalemu.


2. Hosiana Mesiya

   Utubariki sasa.

   Jenga ufalme wako

   Ulimwenguni mwote.

   Hosiana Mesiya

   Utubariki sasa.


3. Hosiana pongezi!

   Twakuamkia Bwana!

   Kiti cha enzi yako

   chasimama milele.

   Hosiana pongezi!

   Twakuamkia Bwana.


Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya