53. Tumshukuru, Tumsifu

1. K: Tumshukuru, tumsifu 

      Mungu kwani ni mwema.

   W: Huruma yake ipo, 

      Mchana na usiku.


2. K: Tangaza Jina lake, 

      Mungu wetu wa kweli.

   W: Huruma yake …


3. K: Kajaza maajabu, 

      Mbinguni duniani. 

   W:  Huruma yake ..


4. K: Kwa uwezo wake mkuu,

      ameviumba vyote.

   W: Huruma yake ..


5. K: Aliongoza watu, 

      ugenini zamani

   W: Huruma yake ..


6. K:  Maskani ametupa, 

       hapa ulimwenguni. 

   W:  Huruma yake ..


7. K: Anawalisha watu, 

      hata wanyama pia.

   W: Huruma yake ..


8. K: Na tumwimbie Mungu, 

      kwani Yeye ni mwema.

   W: Huruma yake ..


Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya