64. Yesu Mwokozi

1. Yesu Mwokozi 

   mwenye nguvu zote, 

   wewe Mwana wa Mungu  

   nitakupenda, nitakusifu, uliye

   mpenzi wangu mkuu.


2. Uzuri wote 

   wa nchi na milima 

   unatufurahisha. 

   Yesu ni mzuri kupita hiyo 

   anatufariji sisi.


3. Jua na mwezi 

   hata nyota zote 

   zinang’aa  mbinguni. 

   Yesu ashinda uzuri huo, 

   ang’aza watu mioyo.


4. Uzuri wote

   hapa na mbinguni

   ni mfano wa Mwokozi.

   Tumpende Yeye wa utukufu 

   aliyetupenda kwanza.


Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya