68. Nitakutukuza

1. Nitakutukuza, nakuimbia

   /: wewe uzima wangu, 

   kingojeo changu! :/


2. Umeniokoa kwa mkono wako,

   /: nalifuata njia 

   ya upotevuni. :/


3. Wote wakujue upole wako,

  /: wakufuate Yesu 

   ninayekupenda. :/


4. Utume mitume waende kote,

   /: kwa nguvu yako Bwana wafu 

   wafufuke. :/


5. Huku chini kote, dunia nzima

   /: lifanywe kundi moja, wewe

   Mchunga wao! :/ 

Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya