69. Wito Waja
1. Wito waja, kwa nchi zote wapi
washindi wa Yesu
watakaomfuata kweli?
Sisi tujitie kwake!
Mkubwa nani?
Tushikane
naye mfalme, tupatane,
tumfuate!
2. Ana ufalme tangu kale,
nchi hata mbingu ni zake.
Atuelekeza juu kwake,
hatahukumiwa tena.
Mkubwa nani? …
3. Tutangaze utume mwema kwa
makabila ya kwetu, na tuseme
pasipo woga tuyaonayo kwa
Yesu.
Mkubwa nani? …
4. Haya jamaa tuwe tayari
sisi watumishi wake,
Yeye ni Mfalme wa
majeshi,
miili na mioyo ni yake.
Mkubwa nani? …
Comments
Post a Comment