70. Twende Vitani

1. Twende vitani vitakatifu, 

   zikitujia, shida na taabu. 

   Ngurumo zivume kutia woga.

   Mwiteni Mwokozi! 

   Yesu ni mwanga.


2. Ingawa giza lawafunika, 

   na raha yenu ikizimika,

   na nguvu za mwovu 

   hazina mpaka. 

        Mwiteni Mwokozi …


3. Shetani aje, akijaribu 

   kuvunja kazi na kuharibu 

   hila zake zote na zitakwisha. 

        Mwiteni Mwokozi … 

Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya