73. Ni Ujumbe wa Bwana

1. Ni ujumbe wa Bwana Haleluya!

   Wa maisha ya daima. 

   Amenena mwenyewe, Haleluya!

   Utaishi ukitutazama. 

   Tazama! Ishi sasa! 

   Kumtazama Yesu.   

   Amesema mwenyewe,  

   Haleluya! 

   Utaishi ukitazama.


2. Ni ujumbe wa wema,  Haleluya!

   Nawe shika, rafiki yangu. 

   Ni habari ya raha, Haleluya!

   Mwenye kuisema ni Mungu. 

       Tazama …


3. Uzima wa daima, Haleluya!

   Kwake Yesu utauona. 

   Ukimtazama tu, Haleluya!

   Wokovu pekee wa Bwana. 

        Tazama …


Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya