93. Njoo Msalabani
1. Njoo msalabani ukilemewa,
wewe msafiri!
Kwenye msalaba utapumzika,
ndiyo raha.
2. Wamwona Mwana
Kondoo wa Mungu, akichukua
mshahara mkuu wa
makosa yako, akufia.
3. Yeye asiye mkosaji hata,
ahukumiwa.
Waona jinsi akupendavyo
ewe mdhambi?
Comments
Post a Comment