94. Unipe Nguvu Bwana

1. Unipe nguvu, 

   Bwana nikumbuke

   mateso yako yaliyokupata,

   kutukomboa tulioanguka 

   katika dhambi.


2. Umemtii Baba, 

   mpaka kufa kwako

   mahali petu ulisulibishwa,

   makosa yetu yalikuwa

   mengi,  umetufia.


3. Wokovu wangu ulinitafuta; 

   nakuangukia Mwokozi wangu, 

   nakushukuru nikiitazama

   huruma yako. 

Comments

Popular posts from this blog

18. Umati wa Yesu

2. Hosiana, Mesiya